Ufafanuzi wa maendelezo katika Kiswahili

maendelezo, mwendelezo

nominoPlural maendelezo

  • 1

    namna au utaratibu wa kustawisha hali, vitu au watu, kusonga mbele kwa mawazo, uchumi au mahali.

  • 2

    upigaji hatua.

Matamshi

maendelezo

/maɛndɛlɛzɔ/