Ufafanuzi wa maficho katika Kiswahili

maficho

nominoPlural maficho

  • 1

    mahali ambapo mtu au mnyama hujificha asionekane, mahali pa kujificha, tendo la kuficha.

    kamafleji

Matamshi

maficho

/mafit∫ɔ/