Ufafanuzi wa mafyongo katika Kiswahili

mafyongo

nomino

  • 1

    mwelekeo wa kitu kinachokwenda upande kinyume na makusudio ya mwenye kukirusha au kukipiga.

  • 2

    mshadhari

Matamshi

mafyongo

/mafjɔngɔ/