Ufafanuzi wa magangao katika Kiswahili

magangao

nominoPlural magangao

  • 1

    mahali ambapo pana majengo yaliyobomoka na hayakaliwi tena.

Matamshi

magangao

/magangaɔ/