Ufafanuzi wa mageuzi katika Kiswahili

mageuzi

nominoPlural mageuzi

  • 1

    mabadiliko ya jamii ya kisiasa, kitamaduni na kiuchumi.

    ‘Dunia inashuhudia wimbi la mageuzi pamoja na kumalizika kwa Vita Baridi’

Matamshi

mageuzi

/magɛuzi/