Ufafanuzi wa maghufira katika Kiswahili

maghufira

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    msamaha anaopewa binadamu na Mwenyezi Mungu kwa dhambi au makosa aliyofanya.

    ghofira

Asili

Kar

Matamshi

maghufira

/maɚufira/