Ufafanuzi wa magowe katika Kiswahili

magowe

nomino

  • 1

    mawingu mepesi kama manyoya, ambayo huwa juu sana.

Matamshi

magowe

/magɔwɛ/