Ufafanuzi wa magube katika Kiswahili

magube, gube

nominoPlural magube

  • 1

    hali ya kusema au kutenda jambo lisilo la kweli na kuwafanya wengine wafikirie kuwa ni la kweli.

    ‘Fanya magube’
    hila, ujanja

Matamshi

magube

/magubɛ/