Definition of mahabubu in Swahili

mahabubu

noun

  • 1

    mtu aliyekuingia moyoni na kumthamini kuliko wengine.

    mpenzi

Origin

Kar

Pronunciation

mahabubu

/mahabubu/