Ufafanuzi wa mahakama katika Kiswahili

mahakama

nominoPlural mahakama

  • 1

    mahali ambapo kesi na mashitaka mbalimbali husikilizwa na kuamuliwa.

    korti, baraza

Matamshi

mahakama

/mahakama/