Ufafanuzi wa mahali katika Kiswahili

mahali

nominoPlural mahali

  • 1

    sehemu ambapo kitu au mtu huweza kukaa.

    janibu

  • 2

    ‘Hakuna mahali pa kukaa’
    nafasi

Matamshi

mahali

/mahali/