Ufafanuzi wa mahame katika Kiswahili

mahame, kihame

nomino

  • 1

    mahali palipohamwa; sehemu iliyohamwa na watu waliokuwa wanaishi hapo.

    ganjo, tongo

Asili

Kar