Ufafanuzi wa maharage katika Kiswahili

maharage, maharagwe

nomino

  • 1

    mbegu jamii ya k.v. fiwi, mbaazi au kunde.

Matamshi

maharage

/maharagÉ›/