Ufafanuzi wa maharazi katika Kiswahili

maharazi

nominoPlural maharazi

  • 1

    sindano au shazia ya kushonea viatu.

Asili

Kar

Matamshi

maharazi

/maharazi/