Ufafanuzi wa mahati katika Kiswahili

mahati

nominoPlural mahati

  • 1

    chombo cha seremala cha kupimia na kufanyia mstari.

  • 2

    kamba inayotumiwa kufanyia mstari.

Asili

Kar

Matamshi

mahati

/mahati/