Ufafanuzi wa mahiri katika Kiswahili

mahiri

kivumishi

  • 1

    -enye ujuzi na hodari kufanya mambo.

    galacha

Asili

Kar

Matamshi

mahiri

/mahiri/