Ufafanuzi wa mahoka katika Kiswahili

mahoka

nominoPlural mahoka

  • 1

    mambo afanyayo mtu kwa ajili ya kuchekesha, kufurahisha au utani.

Matamshi

mahoka

/mahɔka/