Ufafanuzi wa mahubiri katika Kiswahili

mahubiri

nominoPlural mahubiri

Kidini
  • 1

    Kidini
    mazungumzo, hasa ya kidini yanayotolewa na kiongozi wa dini kwa waumini wake, agh. wakati wa ibada.

    neno

Asili

Kar

Matamshi

mahubiri

/mahubiri/