Ufafanuzi wa mahususi katika Kiswahili

mahususi

kivumishi

  • 1

    -enye kuhusika na kitu, kundi au mtu mmoja.

    maalumu

Asili

Kar

Matamshi

mahususi

/mahususi/