Ufafanuzi wa maili katika Kiswahili

maili

nominoPlural maili

  • 1

    kipimo cha masafa ya yadi 1,760.

Asili

Kng

Matamshi

maili

/maIli/