Ufafanuzi wa majaka katika Kiswahili

majaka

kielezi

  • 1

    bila ya kufuata kanuni za usomaji.

    ‘Soma majaka’
    vibaya

Matamshi

majaka

/maʄaka/