Ufafanuzi wa Maji ya shahada katika Kiswahili

Maji ya shahada

msemo

  • 1

    maji ya mwisho anayopewa au kutiwa mgonjwa aliye mahututi na anayekaribia kukata roho; maji ya kuoshewa maiti.