Ufafanuzi wa majili katika Kiswahili

majili

nomino

  • 1

    sehemu ya chombo cha kunyongea mtu.

  • 2

    chumba cha kunyongea mtu.

Matamshi

majili

/maŹ„ili/