Ufafanuzi msingi wa majimaji katika Kiswahili

: majimaji1majimaji2Majimaji3

majimaji1

nominoPlural majimaji

 • 1

  kitu kinachomiminika kama maji au maziwa.

Matamshi

majimaji

/maʄimaʄi/

Ufafanuzi msingi wa majimaji katika Kiswahili

: majimaji1majimaji2Majimaji3

majimaji2

nominoPlural majimaji

 • 1

  mpira uliopigwa kwa nguvu kutoka mbali kuelekea golini.

  ‘Kampambe alitoa majimaji iliyotua golini’

Matamshi

majimaji

/maʄimaʄi/

Ufafanuzi msingi wa majimaji katika Kiswahili

: majimaji1majimaji2Majimaji3

Majimaji3

nominoPlural Majimaji

 • 1

  kaulimbiu iliyotumika katika mapambano dhidi ya ukoloni wa Kijerumani 1905–1907 Kusini mwa Tanzania.

  ‘Vita vya Majimaji’

Matamshi

Majimaji

/maʄimaʄi/