Ufafanuzi wa majira katika Kiswahili

majira

nominoPlural majira

  • 1

    kipindi maalumu cha hali ya hewa.

    ‘Majira ya mvua’
    msimu, wakati

  • 2

    mwendo wa kawaida wa saa.

Asili

Kar

Matamshi

majira

/maʄira/