Ufafanuzi wa makaa ya mawe katika Kiswahili

makaa ya mawe

  • 1

    mkaa wa rangi nyeusi upatikanao chini ya ardhi, baada ya kufukiwa kwa miaka mingi iliyopita, ambao agh. hutumika kupikia na kuendeshea mitambo iwashwapo.

    ‘Uchimbaji wa makaa ulipata maendeleo wakati huo’
    ‘Viwanda vingi vinatumia makaa ya mawe kuzalisha bidhaa’