Ufafanuzi wa makala katika Kiswahili

makala

nominoPlural makala

  • 1

    habari zilizoandikwa kueleza jambo, agh. kwenye gazeti, jarida au kitabu.

    ‘Makala haya yanasisimua’
    maandishi

  • 2

    karatasi ya kitaaluma inayogusia maudhui au mada fulani.

Asili

Kar

Matamshi

makala

/makala/