Ufafanuzi wa makaroni katika Kiswahili

makaroni

nominoPlural makaroni

  • 1

    aina ya tambi nene za unga wa ngano.

  • 2

    chakula kama tambi nene zilizotengenezwa kwa unga wa ngano.

Asili

Kng

Matamshi

makaroni

/makarɔni/