Ufafanuzi msingi wa makini katika Kiswahili

: makini1makini2

makini1

nominoPlural makini

 • 1

  utulivu wa fikira.

  kituo

 • 2

  hali ya kutokuweko na ghasia.

  dhati, utulivu

Asili

Kar

Matamshi

makini

/makini/

Ufafanuzi msingi wa makini katika Kiswahili

: makini1makini2

makini2

kivumishi

 • 1

  -a kutokuwa na ghasia.

  tulivu

Asili

Kar

Matamshi

makini

/makini/