Ufafanuzi wa maksai katika Kiswahili

maksai

nominoPlural maksai

  • 1

    ng’ombe dume aliyehasiwa ambaye agh. hutumika kwa kufanya kazi.

Asili

Kar

Matamshi

maksai

/maksaji/