Ufafanuzi wa maksi katika Kiswahili

maksi

nominoPlural maksi

  • 1

    alama apatazo mtahiniwa.

    ‘Mwanafunzi amepata maksi tisini katika mia’
    alama

Asili

Kng

Matamshi

maksi

/maksi/