Ufafanuzi wa maktaba katika Kiswahili

maktaba

nominoPlural maktaba

  • 1

    nyumba au chumba mnamohifadhiwa machapisho ambamo watu huruhusiwa kuyatumia au kuyaazima kwa muda.

  • 2

    mkusanyiko wa machapisho kama vitabu, kanda, nk.

  • 3

    yaliyohifadhiwa na ambayo huweza kuazimwa na kutumiwa.

Asili

Kar

Matamshi

maktaba

/maktaba/