Ufafanuzi wa makucha katika Kiswahili

makucha

nominoPlural makucha

  • 1

    ukatili na dhuluma zifanywazo na kiongozi au utawala fulani.

Matamshi

makucha

/makutʃa/