Ufafanuzi wa makumbusho katika Kiswahili

makumbusho

nominoPlural makumbusho

  • 1

    jumba linalohifadhi vitu mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu na maonyesho.

Matamshi

makumbusho

/makumbu∫ɔ/