Ufafanuzi wa makungu katika Kiswahili

makungu

nominoPlural makungu

  • 1

    kitu kinachofanywa kwa ajili ya kuhimiza ada fulani za kimila.

Matamshi

makungu

/makungu/