Ufafanuzi wa makwao katika Kiswahili

makwao

nomino

  • 1

    mahali wanapoishi; nyumbani mwao.

Matamshi

makwao

/makwaw…Ē/