Ufafanuzi wa malalamiko katika Kiswahili

malalamiko

nominoPlural malalamiko

  • 1

    manung’uniko ya sauti au ya kimyakimya.

    manung’uniko

Matamshi

malalamiko

/malalamikɔ/