Ufafanuzi wa malaya katika Kiswahili

malaya

nominoPlural malaya

  • 1

    mwanamke au mwanamume mwenye tabia ya uzinzi.

    mlupo, mtalaleshi, guberi, changudoa, kiberenge, kahaba, kibiritingoma

  • 2

    mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.

Asili

Kar

Matamshi

malaya

/malaja/