Ufafanuzi wa maleba katika Kiswahili

maleba, maleva

nominoPlural maleba

  • 1

    mavazi ya wasanii wakiwa kwenye onyesho.

  • 2

    mavazi rasmi ya mahafali wakati wa sherehe za kutunukiwa vyeti, stashahada au shahada.

Matamshi

maleba

/malɛba/