Ufafanuzi wa maliasili katika Kiswahili

maliasili

nominoPlural maliasili

  • 1

    vitu k.v. madini, misitu au maji vinavyotokana na maumbile ambavyo hupatikana katika mazingira.

Asili

Kar

Matamshi

maliasili

/maliasili/