Ufafanuzi wa malipo katika Kiswahili

malipo

nominoPlural malipo

  • 1

    jambo afanyalo mtu kulipia au kulipwa kwa kitendo fulani alichofanya.

  • 2

    kitu atoacho mtu ili kugharimia alichonunua.

Matamshi

malipo

/malipɔ/