Ufafanuzi wa malisho katika Kiswahili

malisho

nominoPlural malisho

  • 1

    chakula cha wanyama k.v. majani au maganda.

  • 2

    ulishaji wa wanyama.

Matamshi

malisho

/mali∫ɔ/