Ufafanuzi wa malkia katika Kiswahili

malkia

nomino

  • 1

    mwanamke wa ukoo wa kifalme anayetawala.

  • 2

    mke wa mfalme.

Asili

Kar

Matamshi

malkia

/malkija/