Ufafanuzi msingi wa malumbano katika Kiswahili

: malumbano1malumbano2

malumbano1

nomino

  • 1

    majadiliano yanayotawaliwa na maswali na majibu baina ya washiriki.

    chilumbo, mjadala, mabishano, kongamano

Matamshi

malumbano

/malumbanÉ”/

Ufafanuzi msingi wa malumbano katika Kiswahili

: malumbano1malumbano2

malumbano2

nomino

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    aina ya bahari ya ushairi.

Matamshi

malumbano

/malumbanÉ”/