Ufafanuzi wa mamalia katika Kiswahili

mamalia

nomino

  • 1

    jamii ya wanyama wenye kuzaa viumbe na kunyonyesha.

Asili

Kng

Matamshi

mamalia

/mamalija/