Ufafanuzi wa mamania katika Kiswahili

mamania

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    shikana na kitu kingine.

    shikamana, ganda, ng’ang’ania

Matamshi

mamania

/mamanija/