Ufafanuzi wa mamanua katika Kiswahili

mamanua

kitenzi elekezi

  • 1

    fungua au tenganisha kwa nguvu vitu au kitu kilichoshikana.

Matamshi

mamanua

/mamanuwa/