Ufafanuzi wa mamlaka katika Kiswahili

mamlaka

nominoPlural mamlaka

  • 1

    amri au uwezo wa juu wa kuongozea mambo, shirika au shughuli fulani.

    enzi

Matamshi

mamlaka

/mamlaka/