Ufafanuzi msingi wa mamoja katika Kiswahili

: mamoja1mamoja2

mamoja1

kielezi

  • 1

    isiyofanya au kuleta tofauti; si kitu.

    ‘Ukija usije, kwangu ni mamoja’
    sawa, fahuwa

Matamshi

mamoja

/mamɔʄa/

Ufafanuzi msingi wa mamoja katika Kiswahili

: mamoja1mamoja2

mamoja2

nominoPlural mamoja

  • 1

    tarakimu za hesabu kuanzia sifuri hadi tisa.

Matamshi

mamoja

/mamɔʄa/