Ufafanuzi wa mandakozi katika Kiswahili

mandakozi

nomino

  • 1

    mti uliozibuliwa tundu kubwa na ambao zamani watumwa wawili au zaidi walikuwa wakifungwa nao shingoni.

Matamshi

mandakozi

/mandakɔzi/